Inahitaji mtaji kiasi gani kuanzisha kampuni ya usafirishaji mizigo kama dhl?

Inahitaji mtaji kiasi gani kuanzisha kampuni ya usafirishaji mizigo kama dhl?

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
salaaam
ndugu zangu great thinkers nataman kuanza biashara tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kujua je inahitaji kias gan cha mtaji kuanzisha biashara hiyo??????
nawasilisha natumai kupata msaada
 
Kuanzisha yategemea umejipangaje,kwanza lazima ujue unasafirisha kwa njia gani,magari au anga na je unavyo vitendea kaz hivyo au unakua agent na kutumia vyombo vya usafiri vya watu wengine.......process za kufungua kampuni nadhani unazijua
 
Mkuu ukjibiwa naomba un tag
salaaam
ndugu zangu great thinkers nataman kuanza biashara tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kujua je inahitaji kias gan cha mtaji kuanzisha biashara hiyo??????
nawasilisha natumai kupata msaada
 
Back
Top Bottom