Inahitaji mtaji wa shilingi ngapi kwenda China kufuata mzigo wa nguo kuuleta bongo?

Inahitaji mtaji wa shilingi ngapi kwenda China kufuata mzigo wa nguo kuuleta bongo?

nasrimgambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
1,902
Reaction score
2,488
Pengine hili ni swali la kawaida sana na tayari lishaulizwa ila leo mimi natafuta majibu yake

hivi inagharimu kiasi gani kwenda na kurudi china?

Na sasa mtu akishafika China, tuseme Guangzhou akachukua mzigo wa nguo tuseme gharama za kuuleta hadi unafika pale JNIA airport hugharimu kiasi gani?

Hivi nguo hufikia airport ama bandari?

Sasa kwa ujumla, kwa kukadiria mtu anahitaji milioni ngapi kuamua kujikita katika biashara hii ya kwenda nje kufuata mzigo?
 
Mzigo kwa china una bei nzuri ila tatizo kitu kinachoitwa TRA wa Tanzania utajuta kwenda china
 
Screenshot_2019_0524_104330.jpg
 
Back
Top Bottom