nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
alaa! kwahiyo kumbe nguo hupitia bandari?Ukipitisha airport kodi yake utanuna
kwaniiiii, nauli ya china kwenda na kurudi shilingi ngapi?Ml 10 ukitoa nauli na malazi
Inategemea unaenda kipindi gani..Mimi nataka kujua nauli jumla ni bei gani. Kwenda na kurudi nauli pekeyake
kwa mfano kipindi kama hiki tuseme nauli inacheza kiasi gani?Inategemea unaenda kipindi gani..
We sema vipindi vyote kama utawezaInategemea unaenda kipindi gani..
Hiyoo bei ni go and return au.
Go kushoto return kuliaHiyoo bei ni go and return au.
Hatari sana.Go kushoto return kulia