Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Nakubaliana na ww ,umeogea fact kubwa sna
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Passo haina shida...shida ipo kwa wamiliki.....wewe umeshajua gari ni ndogo mathalani ile ya piston 3..
Kaka hata utembee mpaka mbinguni, ile ni mashine ili mradi tu umeipa service sahihi unatumia vilainishi sahihi.kitu kingine kinachosababisha hizi gari kuchemsha ni kuweka maji ya dawasco badala ya coolant. Tena sio coolant tu bali coolant sahihi. Coolant zina rangi na kila gari ipo recomended na coolant ya rangi flan. Ukichukua coolant ukachovya kidole utaona kama inateleza kwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh ivi unaweza kutembea na Ist kutoka Dar mpaka Mwanza bila kuzima popote njiani au kupumzika?
 
Mimi ni dereva was IT natoka DSM hadi Zambia siku moja na nusu muda mwingine Kinshasa kupeleka hizo gari na zinahimili mikiki angalizo acheni dharau was hz ndinga ndogo ndogo

Ila kuna wakati unapata mnyama mkali unatamani upitilize nalo hadi SA lkn tatizo hizi family zinakutegemea
 
mara paap umekabidhiwa jeep hili hapaa lifike zambia afu ukikumbuka ww hata kastarlet huna..daaah unashikwa na tamaa kinyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hv kuwa dereva wa IT inahtaji vigezo gan mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kumiliki gari ndogo. Nateseka sana! Kuingia pale mageti ya UDSM.
Eti watembea miguu lazima kunawa mikono na kuvaa barakoa. Wenye magari wanapita bila kuguswa! Fucck!!
 
Natamani kumiliki gari ndogo. Nateseka sana! Kuingia pale mageti ya UDSM.
Eti watembea miguu lazima kunawa mikono na kuvaa barakoa. Wenye magari wanapita bila kuguswa! Fucck!!
Au wenye passo wanasimamishwa kunawishwa?
 
duh ivi unaweza kutembea na Ist kutoka Dar mpaka Mwanza bila kuzima popote njiani au kupumzika?
Nimeshatembea na passo zaidi ya mara 4 hito njia huwa nikiamsha saa moja dar nazima gari mwanza saa 6 usiku non stop hata kula huwa sili. Nasimama kujaza mafuta tu. Na huwa natumia wese la 150000
 
Nimeshatembea na passo zaidi ya mara 4 hito njia huwa nikiamsha saa moja dar nazima gari mwanza saa 6 usiku non stop hata kula huwa sili. Nasimama kujaza mafuta tu. Na huwa natumia wese la 150000
Hiyo Paso ni gari ya pistoni ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…