kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 548
Daaah kwa ela iyo mzee hutopata pikipiki bali utapata masalia ya iliyokuwa ikiiitwa pikipiki mkuu huu ni ushauri pambana kadri uwezavyo Ongeza sh laki nne fikisha m1.2 tafuta mashine utapa mashine iliyobora kabisa
Nmkutumia pm chekInahitajika piki2 aina boxer ambayo ilikua ikitumika kwa mtu kam usafr wa binafsi plate no njano iwe na hali nzuri au km imefanyia biashar isiwe imezid miez 10 pia iwe katk hali nzuri bajeti ni laki 8 , muhitaji yupo dar esalam... picha unawez Tuma pm asant
Ukifika 1M njoo PM tufanye biasharanjo nikupe bike namba BTY mang'ana.....
kitu kama kimetoka shop hakina mazee
price 1.2 fixed
serious njo PM