Habari wakuu.
Nahitaji gari tajwa hapo juu kwa ajili ya kunisaidia kusafirisha vifaa vya hardware kutoka Ungalimited mpaka Moshi.
Pia naomba kufahamu kwa hapa Arusha wapi zinapatikana gari za kukodi au kama naweza kuunganishwa na madereva wa malori wanaokuwa wanatoka Arusha kuelekea Moshi .
Natanguliza shukrani.