Anayoyafanya Rais Samia ni kupangua na sio kupanga safu mpya, inasemwa ni maji ya futi kwa nyayo, kuna viongozi waljijibebea umaarufu sio kwa uongozi bora bali kwa uongozi uliojaa magube na usio na busara, wala haihitajiki tochi sifa zao zilikuwa zinavuma, maana kufika kuwatia na kuwachapa bakora wananchi walio huru ndani ya nchi yao ni madhila makubwa.
Sijui kama ipo nchi iliyohuru ambayo haya ya viboko yamejirudia. Ila kwa wakati saa ingine unasema iliwabidi wafanye hivyo ili waonekane wapo kush up zaidi na wanakubalika katika sera za push up.
Rais alete wepya (Komba wapya jina la mtaa kule Zanzibar) au CCM hawana tena wanachama wene uweledi wa kuongoza binadamu? Basi achukue kwenye vyama vya upinzani kuna watu wapo tayari kulitumikia Taifa hili.