Mutensa
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 421
- 92
Salaamz wana JF. Natafuta professional cleaners wa ndani ya gari. Namaanisha kusafisha floor, roof, viti, board ya ndani kwa ujumla, dash board NA MFUMO MZIMA WA HEWA YA AIR CONDITIONER. Note: sitafuti wale waoshaji wa magari wa vijiweni, nawajua wengi, sina haja ya kutangaza JF. Mwenye huduma hii ani-pm au anitumie mail kwenye mutensa@live.co.uk