Fred Katulanda
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 380
- 550
Huu uzi una siku mbili niliechangia ni mm tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wadau, mimi mfugaji wa Bata nahitaji Mashine za kutotolesha mayai (Incubators), lakini iwe na uwezo wa kutumia umeme na Solar na Unaweza kuwa ya mayai 50-90+.
Yeyote mwenye kujua aina nzuri kwa mayai ya Bata anaweza kunishauri.
Natanguliza shukrani.
Asante SanaMashine kama hizo watatafute jamaa wanaitwa ask incubator ilo jina la page wanatengeneza wenyewe ni nzuri kwa Kutotolesha mayai ya bata
Kwa vifaranga vya aina mbali mbali Kama mallard, jumbo perkin, khaki Campbell, ruen, Indian runner na bata bukini
Napatikana CHANIKA, Ilala , DAR ES salaaam
Call 0746 696878
Instagram ILUNDA Farm
View attachment 2200588
View attachment 2200590
View attachment 2200591
Uko sahihi. Nilimpa kuku mayai 10 ya bata aka-totoa 9. Muhimu ukiweza ni vizuri kuwa unanyunyizia maji kwenye mayai. Au unamlowanisha kuku kisha unamwacha anarudi. Hii ni sababu mayai ya bata yanahitaji unyenyevu muda mwingi ili processes za growth kwa kifaranga ndani ya yai ziende inavyotakiwa.Mayai ya Bata tafuta Kuku wa Kienyeji kwa idadi itakayo kutosha na hao kuku ndo wawe wanaatamia hayo mayai ya Bata, Incubator zinaharibu sana mayai ya Bata utapata sana hasara