Inahitajika nyumba ya kununua Tanga Mjini

Inahitajika nyumba ya kununua Tanga Mjini

Mkolye

New Member
Joined
Jul 19, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Nahitaji nyumba ya kununua iwe imekamilika umeme na maji au banda la uwani ambalo lipo sehemu nzuri kwa biashara.

LOCATION😀 Uga, Mwakidila, Mwahako, Mwang'ombe.

0766445858


Screenshot_20231113_132058_Instagram.jpg
 
Nakushauri jenga ya kwako.
Ni ngumu sana kupata nyumba ya kununua yenye vigezo unavyovitaka.
 
Una shilingi ngapi Kuna moja ipo Mapojoni
 
Back
Top Bottom