Inahitajika nyumba ya kupanga Kigamboni

Inahitajika nyumba ya kupanga Kigamboni

danhoport

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2020
Posts
1,984
Reaction score
4,502
Habari wakuu, kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, inahitajika nyumba kubwa ya kupanga ya familia yenye parking kuwe na usalama, kodi isizidi 300K kwa mwezi.
 
Wanakuja utapata fasta ndugu. Au kama vipi nenda na Facebook kwenye yale magroup ya wapangaji.
 
Back
Top Bottom