stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,252
- Thread starter
-
- #21
Unamuogopeha Mdogo wangu bhana mbona Sinza maisha Ya kawaida SanaMaisha ya Sinza uwe na pesa hasaa hakuna kule andazi la Mia mbili yaani mtu una umiza kichwa kweli kweli vyakula ghali 🤣🤣🤣🤣
sinza ipi hiyo unazungumzia?au sinza ya New york?Maisha ya Sinza uwe na pesa hasaa hakuna kule andazi la Mia mbili yaani mtu una umiza kichwa kweli kweli vyakula ghali 🤣🤣🤣🤣
Sehemu zenye tabia za ajabu hapa dar Sinza ipo kwenye namba moja au mbili amini hivyo🤣🤣🤣🤣🤣kwanza kwa ujambaziii Shikamoo hawafanyi kazi kwa kuiba majaji na bodaboda hatariiiUnamuogopeha Mdogo wangu bhana mbona Sinza maisha Ya kawaida Sana
Mbona wewe unapingana na wengi mkuu maana sisi wote twajua kuwa Sinza ni sehemu moja tulifu Sana yenye armani kubwa mno na yenye starehe na wengi wanapenda kukaa Sinza ila wanashindwa maanaa wanasema ni sehemu Ya garama sasa wewe utakuwa unazungumzia tabata, Mbez juu Mbez Kimara, kinondoni temeke au buguruniSehemu zenye tabia za ajabu hapa dar Sinza ipo kwenye namba moja au mbili amini hivyo🤣🤣🤣🤣🤣kwanza kwa ujambaziii Shikamoo hawafanyi kazi kwa kuiba majaji na bodaboda hatariii
sinza ipi hiyo unazungumzia?au sinza ya New york?
Sinza kumekucha, sinza kijiweni, Mugabe n. KMbona wewe unapingana na wengi mkuu maana sisi wote twajua kuwa Sinza ni sehemu moja tulifu Sana yenye armani kubwa mno na yenye starehe na wengi wanapenda kukaa Sinza ila wanashindwa maanaa wanasema ni sehemu Ya garama sasa wewe utakuwa unazungumzia tabata, Mbez juu Mbez Kimara, kinondoni temeke au buguruni
wewe utakua umesimuliwa..sinza maisha ya kawaida kabisa..Sinza kumekucha, sinza kijiweni, Mugabe n. K
Hapana mkuu hata mda huu nipo Sinza hapa ndio home kwa mamawewe utakua umesimuliwa..sinza maisha ya kawaida kabisa..
mkuu,nilikua naishi hapo sinza Mugabe.maisha yalikua so simple...Hapana mkuu hata mda huu nipo Sinza hapa ndio home kwa mama
😂😂😂😂Mengine naandika si kuchangamsha kijiwe na wewe una amini ila Sinza kwikwimkuu,nilikua naishi hapo sinza Mugabe.maisha yalikua so simple...
Kuna moja iko nyuma ya lachaz
Kwanini mkuu?mtihani huu shekhe [emoji3]
Kwanini mkuu?
sinza zamani sio saivi.sinza imehamia tabataYeye anataka nyumba ya bei nafuu halafu barabarani yuko serious huyo anajua nyumba za sinza zilivyo ghali.
Kuna mtu anakaa kumekucha chumba elfu 70 naye atahitaji kua na mshahara wa milioni kweli??🤣🤣Kweli mkuu Sinza ni sehemu ghali kuishi kule ufanye biashara tu wanao ishi kule mshahara kwa mwenzi million kwenda juu.
anazingua sinza kwa kawaida sana kuna kodi mpaka elfu hamsini.Kuna mtu anakaa kumekucha chumba elfu 70 naye atahitaji kua na mshahara wa milioni kweli??
Nimeshangaa kweli[emoji849]Yeye anataka nyumba ya bei nafuu halafu barabarani yuko serious huyo anajua nyumba za sinza zilivyo ghali.
Madawa ya kulevya?...imekuwa kino hiyo?Kwanza Sinza huwezi kulea mtoto kwa amani wanawake wanaongoza kuvaa nguo za ajabu, madawa ya kulevya kule ndio shimbo ukipaona kuzurii ila Kuna umavi wa ajabuu aisee
Kwenye genge sasa ndo utafurahi[emoji1787]...kitunguu kimoja jeroMaisha ya Sinza uwe na pesa hasaa hakuna kule andazi la Mia mbili yaani mtu una umiza kichwa kweli kweli vyakula ghali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]