Sinza ni sehemu tulivu?Makahaba pale ni nyumbani,ma bar,vurugu zote pale ndio kwao aisee.Mbona wewe unapingana na wengi mkuu maana sisi wote twajua kuwa Sinza ni sehemu moja tulifu Sana yenye armani kubwa mno na yenye starehe na wengi wanapenda kukaa Sinza ila wanashindwa maanaa wanasema ni sehemu Ya garama sasa wewe utakuwa unazungumzia tabata, Mbez juu Mbez Kimara, kinondoni temeke au buguruni
Mdau wa Sinza..Nimeshangaa kweli[emoji849]
Nambie....heri ya X-mas bestMdau wa Sinza..
Nawe pia mkuu wangu,nikionaga mada ya Sinza najua lazima nikuone hahah.Nambie....heri ya X-mas best
Haaahaaa....kwanini?Nawe pia mkuu wangu,nikionaga mada ya Sinza najua lazima nikuone hahah.
Umekubali mamy Sinza ni pasua kichwa yaani nikiendaga kule wenyeji wanavyo lalamika hadi huruma, moyoni najisemea si mje kwetu huku mbagara 🤣🤣🤣🤣Kwenye genge sasa ndo utafurahi[emoji1787]...kitunguu kimoja jero
🤣🤣🤣Haki mimi sipangi nyumba kama hiyo, pesa hiyo naenda kupanga Chamazi nyumba safiii, hewa safiii bei nafuu pesa nyingine naweka nanunua kiwanja vikinduuKuna mtu anakaa kumekucha chumba elfu 70 naye atahitaji kua na mshahara wa milioni kweli??
Sinza maisha ghali, vyumba bei juu, vyakula usiseme unaenda sokoni unacho ludi nacho hakielewekisinza zamani sio saivi.sinza imehamia tabata
Familia yangu iko pale sinza mori....maisha ya pale ni expensive sema usalama mwake hakuna kukabwa kule kama tandale, or kigogoUmekubali mamy Sinza ni pasua kichwa yaani nikiendaga kule wenyeji wanavyo lalamika hadi huruma, moyoni najisemea si mje kwetu huku mbagara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi familia yangu ipo kumekucha karibu na hospital ile serikali.Familia yangu iko pale sinza mori....maisha ya pale ni expensive sema usalama mwake hakuna kukabwa kule kama tandale, or kigogo
Hahah naonaga kwny thread za Sinza hukosekani boss.Haaahaaa....kwanini?
Palestina?Mimi familia yangu ipo kumekucha karibu na hospital ile serikali.
Nimezaliwa pale mkuu[emoji16]Hahah naonaga kwny thread za Sinza hukosekani boss.
Hahah hamna noma mkuu.Nimezaliwa pale mkuu[emoji16]
Siyo kweli.[emoji1787][emoji1787]Kweli mkuu Sinza ni sehemu ghali kuishi kule ufanye biashara tu wanao ishi kule mshahara kwa mwenzi million kwenda juu.
Wengne ni vijana, hawapendi kukaa shamba Kwa ajiri Ya kulea wajukuu, Na wengne ni wahuni sasa huko nje atafanya na Nani uhuni?Hivi Sinza mnapapendea nini ???
Nimeishi Sinza sijawahi kupakubali. Kama una kausafiri kako kwanini usiishi zako nje ya mji... Hali ya hewa nzuri, hakuna ukahaba na ni sehemu tulivu kuliko Sinza kwenye makelele na kila aina ya uhuni.
wakuu Nina mdogo wangu anakaa maeneo Ya Tegeta sasa anataka kuhama Tegeta na kuhamia Sinza, hivyo anahitaji nyumba nzima Ya kifamilia maeneo Ya Sinza.
Hivyo Kama kuna mtu ana nyumba maeneo Ya Sinza awasiliane Nae Kwa namba hii 0765135491 plz yeye Hana hela Ya kumpa Dalali. Wakuu kuna wale ambao wanahamia Dodoma na labda
Walishalipa nyumba maeneo Ya Sinza wawasiliane Nae wafanye kubadili mkataba plz nyumba inayohitajika ni nyumba nzuri yenye unafuu wa pango
Plz wenye nyumba maeneo Ya Sinza wasiliana na huyu mdogo wangu kupitia 765135491
Itategemea na Aina ya nyumba mkuuPrice range yake ni kiasi gani?