Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,049
- 10,502
Dippub na wengine
Hembi nipe data kama kuna nyumba ya kupanga maeneo ya Tabata Chang`ombe kwa mwezi 250,000.
Vyumba vitatu au Vinne, fenced.
Optional:-
Inaweza kuwa hata banda la vyumba idadi hiyo ila viwe kwenye mpangilio mzuri tu.
Priority:Iwe karibu na Harvard EA School
Vipi mkuu umepata nyumba ndogo ticha nin?
kwa vile ni wewe mheshimiwa ngoja nikupe namba ya dalali 0769218878, shida zako zooote atazimaliza.
NimekuPM
Hahahaha,hakuna Cyberteq
Kuna wanangu nataka niwajongeze maeneo hayo karibu na shule.Sasa maana hizi School buses zinawaleta jioni na wanashindwa kwenda Madrassa kwa umbali