Mwenye gari ya kuuza kwa kadri ya ufafanuzi ufuatao, tuwasiliane kwa exav@live.com au hapahapa jamvini.
- Toyota Rav 4
- engine size ≤ 2000cc
- 2000 model
- Mileage ≤ 100,000 km
- Milango 5
- Petrol/diesel
- Na features zingine muhimu kam AC, PW, PS, PM n.k
- Bei tutakubaliana
Iwe na hali nzuri kwa ujumla.
Shukrani zitangulie kwenu!

si uende dukani ukanunue, nenda pale DT Dobies, au kwenye showroom kibao kinondoni na dar yote...kwanini unataka kununua ile ambayo wenzio wametembelea hadi wamechoka, wameipeleka kwa waganga wakazindika kwa waganga kwa kuogopa kudondoka etc...si bora ununue jipya tu mkuu?
Mkuu vipi la mwaka 1998 unalitaka? Liko zbar naweza kukusafirishia. Kama vipi ni pm.
Mwenye gari ya kuuza kwa kadri ya ufafanuzi ufuatao, tuwasiliane kwa exav@live.com au hapahapa jamvini.
Iwe na hali nzuri kwa ujumla.
- Toyota Rav 4
- engine size ≤ 2000cc
- 2000 model
- Mileage ≤ 100,000 km
- Milango 5
- Petrol/diesel
- Na features zingine muhimu kam AC, PW, PS, PM n.k
- Bei tutakubaliana
Shukrani zitangulie kwenu!
DT Dobie wanauza RAV 4 siku hizi??
Mwenye gari ya kuuza kwa kadri ya ufafanuzi ufuatao, tuwasiliane kwa exav@live.com au hapahapa jamvini.
Iwe na hali nzuri kwa ujumla.
- Toyota Rav 4
- engine size ≤ 2000cc
- 2000 model
- Mileage ≤ 100,000 km
- Milango 5
- Petrol/diesel
- Na features zingine muhimu kam AC, PW, PS, PM n.k
- Bei tutakubaliana
Shukrani zitangulie kwenu!
Ninayo km 57000 bei 15M
ipo rav 4 ya mwaka 2000 MANUAL. MPYAA FROM JAPAN
INA SIFA KAMA UTAKAZO
BEI YAKE NI 15,000,000.
UKITAKA KUIONA NA MAELEZO MENGINE NITWANGIE KWENYE
0713 744 144 - ABDUL
Hivi kitu kuwa kipya maana yake nini...hakijatumika kabisa (running hour 0) au kimetumika ila ni cha hivi karibuni zaidi? yaani mfano gari ya mwaka 1998 ambayo imetembea km 10 na gari ya 2009 iliyotembea km 100000 ipi ni mpya zaidi?Duu Mkuu hii mbona haijakaa sawa! hivi gari ikitoka Japan hata kama ni ya 2000 ni mpya?!!! Au una maana haijawahi kutumika kabisa.
Hivi kitu kuwa kipya maana yake nini...hakijatumika kabisa (running hour 0) au kimetumika ila ni cha hivi karibuni zaidi? yaani mfano gari ya mwaka 1998 ambayo imetembea km 10 na gari ya 2009 iliyotembea km 100000 ipi ni mpya zaidi?