Mbona Unacheka Mkuu? Uza Gari Kama Unalo.....Ha ha ha!
Hapana Mkuu, ni kwa mtu yeyote mwenye Hili Gari/ Connection Nalo........Uzi wa madalali
Hilux VIGO? NB: Siitaji another version......Jamani hilo gari kuna mtu alikuwa anauza humu asubuhi
Ile sio Vigo!Jamani hilo gari kuna mtu alikuwa anauza humu asubuhi
Kupata Vigo kwa bei hiyo? Litakuwa limechoka sana...Mbona Unacheka Mkuu? Uza Gari Kama Unalo.....
Soko Huru Mkuu, Hakuna wakunilazimisha kununua gari bovu. Nitaangalia litakalokuwa bora kuliko yote. Ila Thanks for your advice Mkuu.Kupata Vigo kwa bei hiyo? Litakuwa limechoka sana...
Poa. Ila kama hutojali, angalia Hilux Surf ambayo inafanana vitu vingi na Hilux Vigo. Surf kwa hela hiyo utapata yenye kiwango.Soko Huru Mkuu, Hakuna wakunilazimisha kununua gari bovu. Nitaangalia litakalokuwa bora kuliko yote. Ila Thanks for your advice Mkuu.
Surf HAPANA Mkuu. Ila Thanks for the Advice.Poa. Ila kama hutojali, angalia Hilux Surf ambayo inafanana vitu vingi na Hilux Vigo. Surf kwa hela hiyo utapata yenye kiwango.
Wakuu Nahitaji Gari Tajwa Hapo Juu. Sijali Reg. No., Najali Hali ya Gari. Budget 20M.
Contact: 0754754593
CC: Master of the game BANGO JEUPE Njalaliko kwadilo griffin2 NAJIDAKIA STORE MAGARI7 Mshana Jr mkuya Siraji fadhii mrangi
Niliona tangazo lake, Ila ilikuwa ni Hilux OLD Model Mkuu, Haikuwa Hilux VIGO......Kuna raia anauza ya kwake humu humu kwa 14M ngoja niupekue kama nitauona
Niliona tangazo lake, Ila ilikuwa ni Hilux OLD Model Mkuu, Haikuwa Hilux VIGO......
Kuna moja inataka 22 mkuu namba A engine unagusa tuWakuu Nahitaji Gari Tajwa Hapo Juu. Sijali Reg. No., Najali Hali ya Gari. Budget 20M.
Contact: 0754754593
CC: Master of the game BANGO JEUPE Njalaliko kwadilo griffin2 NAJIDAKIA STORE MAGARI7 Mshana Jr mkuya Siraji fadhii mrangi
Naomba picha mkuu, naweza vutiwa nayo tukafanya biashara. Unaweza kunitumia whatsApp pia 0754754593.....Kuna moja inataka 22 mkuu namba A engine unagusa tu
Asante MkuuWe are working on it mkuu!
Nitakujulisha
Vipi umeshapata?Wakuu Nahitaji Gari Tajwa Hapo Juu. Sijali Reg. No., Najali Hali ya Gari. Budget 20M.
Contact: 0754754593
CC: Master of the game BANGO JEUPE Njalaliko kwadilo griffin2 NAJIDAKIA STORE MAGARI7 Mshana Jr mkuya Siraji fadhii mrangi
Sijapata Mkuu, kama unalo nirushie pic kny 0754-754-593 tufanye biashara...Vipi umeshapata?