Inahitajika Toyota Noah new model

Inahitajika Toyota Noah new model

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Nahitaji Toyota Noah New Model ambayo haijawahi pata ajali, isiwe inadaiwa, isiwe imesha funguliwa gearbox. Namba iwe C a D Bajeti yangu mil6-6.9
 
Okkk.....ninayo noah old model....gari ya kazi, namba DR bado mpyaaa, ina miaka miwili Tu,tangu ingie bongo. Nataka 13.5 haina dalali hiyo...unaonana na mmiliki,
 
duuh mkuu TEMBO WANGJ,yakobumetumia miaka miwili hapa Tz na baoo unataka bei hiyo si bora kuagiza maana bei ndo hizo hizo
 
Back
Top Bottom