Wakuu kherii!
Inahitajika gari tajwa hapo juu.
Iwepo dar.
Iwe rangi nyeusi.
Tukikubaliana bei nakuja na fundi kukagua gari fast tunafanya biashara.
Nicheck 0747282028
Hizi gari zimepanda sana bei. Nimenunua moja kwa 10.2m na kurejista mwenyewe. Year of manufacture ni 2003. Sijui nimelaliwa au vipi. Ni nzuri kwa matumizi ya mafuta na vipuri vyake vinapatikana. Ukikosa jaribu kuagiza moja kwa moja Japan.