Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.

gud sms but c kwa wanawake tulionao asa hivi,hawana maana mdau.ni pesha tupu lkn km ikitokea basi tutafanya yaliyo mema
 
Very touching story. Boflo na mimi naomba uwe unanibeba
 
Last edited by a moderator:
poa rafiki.
turudi kwenye mada: hii thread ilikuwa inaongelea nini vile?
Hahahah.......rafiki hata sikumbuki, hebu soma mwenyewe Uhuru na Mzalendo hapo chini afu uniambie. (Naamini hapa hatuchakachui)

Very touching story. Boflo na mimi naomba uwe unanibeba

duh.. Boflo ..anza kupiga nondo.. Nazjaz.. sharti la kubwa la kubebwa ni kutwangwa talaka 4 baada ya siku 3..uko tiyaro?mgawanyo wa mali nitakuwa mtu kati..
 
Hahahah.......rafiki hata sikumbuki, hebu soma mwenyewe Uhuru na Mzalendo hapo chini afu uniambie. (Naamini hapa hatuchakachui)
ok, nimekumbuka mkwe,
hii nitawahadithia vijana wangu ili wa-practice kwa hao warembo
 
Usisahau makubaliano yetu, kabla watoto hawajaanza wazazi tunaonyesha mfano. Nshaongea na bibi kishakubali ataonyesha mfano na hubby wako. Natumaini na wewe hutaniangusha kwenye kuonyesha mfano na mimi.
 
wakati huo tunaonyeshana mifano kila mtu mwenzi wake atajua? i.e, mimi na wewe tukienda, bibi na hubby wangu watakuwa wanajua kuwa sasa tumeenda? na sisi hali kadhalika? sipati picha minunio tukitoka huko, mi simo!
 
Wanatakiwa wajue.... Au unataka wasijue? Sasa minuno ikitokea ndo tutakuwa tunawafunza nini watoto wetu? Wivu siyo dawa rafiki.........
 
Ni kweli,
sasa nashauri waanze wao, bibi na hubby, halafu sisi tuwalipizie, au unaonaje?
 
Hahahahaa! Ili mradi tu wasitugeuke..... Hawachelewi kunogewa afu wakatutangazia zoezi limesitishwa! Ye akarudi kwako bibi akarudi kwangu..... Watakuwa wanajikumbushiaje sasa? STUKA FP...Think!! Ni heri tuanze sisi. Afu tukirudi tunawaambia "hamna kitu mule, usiende atakuchafua tu" Hahahahahah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…