M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 Jul 7, 2023 #1 Wadau, Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo. Ahsante
Wadau, Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo. Ahsante
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Jul 7, 2023 #2 Mabala21 said: Wadau, Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo. Ahsante Click to expand... Njoo Zanzibar hapa wete ipo
Mabala21 said: Wadau, Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo. Ahsante Click to expand... Njoo Zanzibar hapa wete ipo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 7, 2023 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,017 Reaction score 5,462 Jul 7, 2023 #4 Niko hapa Darajani Zanzibar kuna saiti nzuri kweli