Inaitajika: Mashine ya Kutengeneza Juice ya Miwa

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Wadau salaam!

Naitaji nshine ya kutengeneza Juice ya miwa kwa Dar. Iwe mpya au used kwa bai rafiki!

Naomba ni PM kama u a offer.
 
Ndugu Mabala. Zipo zenye uwezo tofauti. Zenye kutumia motor na za mikono. Kama ni zile kubwa zenye kijumba chake za umeme ambazo ni mobile fika sido DSM vingunguti.

Kama ni zile size ndogo fika mkabala na kituo cha mabasi ya mwendokasi eneo la kamata. Utaona mashine nyingi zimepangwa zinapiga kazi na nyuma yake yapo maduka wanayoziuza.
 
Nashukuru sana ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom