Ndugu Mabala. Zipo zenye uwezo tofauti. Zenye kutumia motor na za mikono. Kama ni zile kubwa zenye kijumba chake za umeme ambazo ni mobile fika sido DSM vingunguti.
Kama ni zile size ndogo fika mkabala na kituo cha mabasi ya mwendokasi eneo la kamata. Utaona mashine nyingi zimepangwa zinapiga kazi na nyuma yake yapo maduka wanayoziuza.