Inajulikana na kuandikwa kama Christmas. Sasa kuandiaka X-Mass ni kumkufuru Yesu Kristo!

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Nashangaa wakristo waliowengi wakitaka kutuma ujumbe kuhusu siku hii kubwa duniani na kuandia X-mass, badala ya kuandika "Christmass". Neno "X" ni neno la kishetani likimaanisha "biashara ya ngono". Achaa!

Andika " Christmass" likiwa na maana " Kusanyiko la Yesu Christo"
 
Mmeshaanza sasa

Wabongo mna tabu tupu za kiimani

Yani hamuenjoy vitu vidogo duniani kwa maana mnaendekeza mambo ya kufikirika sana

SHAME
 
X ni herufi ya kwanza ya jina Kristo katika Kigiriki
 
Kabla hatujawa na dini ilibidi tuwe na elimu kwanza otherwise tunateketea sana kwa kukosa maarifa
 
Christmass ❌️
Christmas ✅️
Xmas ✅️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…