Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

kunuka nako sio poa asee ni kero.kunukia cna napo sio poa nikero ishu kuwa katikati kutumia vitu visivo na harufu cna.DEODORANT nzr cna hunuki wala hunukii
 
Asilimia kubwa wanao jipulizia perfume wanakua wachafu,,,perfume is just a mask used to hide bad smells inside them
 
Ninacho jua Kama mwili hautoi harufu haina haja ya manukato wengine vikwapa vinatoa harufu
 
Kunukia ni muhimu kijana kwann unuke mbuzi, kibeberu cha msingi utumie simple perfume lkn kunukia muhimu wee labda unatoka kwa wamasai kunukia mafuta ya wanyama
 
Siku hizi vijana wa kiume wanavaa visuruale vinabana miguu na makalio. Aibu sana
 
Perfume za kiume ziko poa sana, zinanukia kiume kiume. Mi napenda sana kusikia harufu yake..
 
tatizo ni kwamba sio kila mtu ni wewe,japo unatamani wewe ndio uwe kila mtu
 
Unakuta mwanaume ananunua pafyumu ya laki ili anukie eti
 
Inavutia Sana
 
Hahaa haaaa kazi kweli kweli, ndio maana kampuni nyingine zinatifautisha bidhaa zake na kumshauri mteja kwanza kabla ya kumuuzia
 
Mm mpk kipanda USO huwa kinaniuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…