DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Baada ya kugombana karibu wiki Mbili kila mtu kivyake, Ijumaa kanitafuta Kisingizio eti kapoteza funguo za nyumban kwake nimpatie nilizonazo za akiba ili asilale nje.
Jumamosi Nmempelekea funguo zake nmekuta mlango hauna Tatizo lolote na tumeishia kufanya mapenz na kurudiana Tena upya kimahusiano.
Jumapili kaomba nikishatoka kanisani asbh nipitie kwake tukafanye mapenz,bahat mbaya ukatokea msiba kwa rafk yangu hivyo siku nzima nikaipoteza msibani na kumwambia Haiwezekani kuja uko hivyo Tutaonana kesho jumatatu jion nkishatoka kazin. Kasema sawa.
Jumatatu ikawa siku ngumu sana maana baada ya kufunga nikawa na shughuli nyngn ya kuhesabu stock na vijana, mpk nafunga kabisa tayar ni saa 5 usiku na nmechoka Sana.
Wazo likaja niende Moja kwa moja mpk kwangu nikapumzike. Ila nikaona sio ustaarabu, kuondoka Bila taarifa kwa mpenz wangu maana nmemuahidi ntapitia kwake nikishatoka dukani.
Nmepiga Simu hajapokea, ikabd niende Moja kwa Moja kwake. Nmefika mtu anang'ang'ana tufanye mapenz MDA huo huo, nikamweleza MDA umeenda Sana (saa 6 kasoro Hii) afu nmechoka sana. Tufanye kesho,Niache nikapumzike.
Akawa haelewi anang'ang'ania suruali na shati siondoki pale mpk tufanye angalau kdg, nmetumia Nguvu sn mpk natoka pale mfuko wa kushoto wa suruali yangu tayar ushachanika.