chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Jana tukiwa ktk benki moja ndani ya eneo la chuo cha Udom akatokea askari mlinzi wa hiyo benki akawazuia akina dada kuingia benki kisha kuwamuru kupiga magoti kitu kilichotufanya wadau wa haki za binadamu kuingila kati na kuhoji mipaka ya kazi ya hawa polisi wetu,je ipi liability ya benki under vicarious liability kwani wale akina dada hawkuchukua pesa baada ya kuzuiwa na yule polisi..................wadau mmaombwa kuongeza hoja ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua,kazi ya askari ni kufuatilia mavazi kitu kilichoshangaza mavazi yalikuwa na staha yake kwani tulikuwa eneo la tukio