chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Mleta thred hii yaelewe haya yafuatayo
askali anapokuwa yupo eneo la lindo kama benki ana mamlaka kama haya
1.kuangalia ulinzi wa eneo zima la benki
2.kuangalia wateja wa benki wanaoingia na wanaotoka ili kubaini na kuzuia watu wasiingie na vitu kama siraha au kitu chochote ambacho kwa kutumia sheria za mabenki haziruhusiwi eg kuvuta sigara ,kuongea na simu na kadharika
3.kuzuia watu wabaya ambao wanaoingia benki kwa kutumia saikolojia ya jeshi unaposimamishwa na askali eneo la benki lazima atakuwa amebaini kuwa ww siyo mtu mzuri ndipo atatumia sheria ya kukukataza na kukuzuia kuingia ndani ya benki mpaka atakapojilidhisha kuwa ww ni mtu mzuri
4.ni halali kwa askali kukuzuia kuingia ndani kupata huduma za kibenki kama amejilidhisha kuwa ww c mtu mzuri
5.kwa nchi za wenzetu hakuna askali anayelinda benki ila kuna mitambo maalumu inayoangalia watu wanaingia na kutoka askari hakuwa na tatizo ungemlazimisha kuingia ww halafu tatizo likatokea ww unasitahili kujibu na huna mamlaka ya kulazimisha kuingia ndani bila ya ridhaa ya askari
askari wetu wako makini UTII BILA SHURUTI

supposedly, wametumia indiscent exposure hili kuondoa umakini kwa watu akiwemo mlinzi kwa nia ya kufacilitate uhalifu. Mleta mada maelezo yake hayajitoshelezi kabisaa nahisi kama amesimuliwa vile!
lakini c kupigisha mtu magoti
Ulimi wake ulikuwa mzito alikuwa anataga mzigo huyo akafikili akitumia ile staili iliyo kuwa inatumika JKT enzi zileee atakula mzigo.