BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 980
- 2,679
Habari za muda huu wanaJF.
Kilicho nikurupusha kufungua uzi huu ni hivi tuchukulie mfano ule uzi wa "kupeana likes" ni imani yangu wengi wetu twaufahamu sasa ule uzi una viewers milioni 15 lakini unicheki idadi ya members JF ni 547,748 inakuaje hii wadau.
Pia tuchukue mfano huu huu uzi wa kupeana likes wenye viewers milioni 15 lakini ukicheki wachangiaji ni milioni 1 na Katika hao wapo waliochangia hata zaidi ya mara tatu sasa hawa watu milioni 14 na ushee inakuaje aisee. Hapa nimetolea mfano huu uzi wa kupeana likes lakini kuna nyuzi nyingi tuu zina viewers wengii lakini ukicheki wachangiaji ni wachache au hamna kabisa inakuaje hii jamani
Alafu etii inakuaje mtu unajikunja kufungua uzi ili upate wachangiaji lakini hupati wachangiaji yaani hata likes tuu hupati. Mfano wewe mdau ukifungua uzi alafu ukose wachangiaji unajisikiaje. Mimi natamani hata kuufuta kabisa huo uzi pia ningeomba Mods watuwekee option ya kufuta nyuzi zetu au wewe mdau unalionaje hili.