Inakuaje madume yoote kupata jike mpaka utumie maalifa mengi?

Inakuaje madume yoote kupata jike mpaka utumie maalifa mengi?

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,646
Hii si kwa binaadamu tu,hata wanyama,ndege na wadudu mpaka watumie hakili ya ziada ndo wawapate wapenzi.why kwanini???
 
Wanaume tume umbwa mateeeso,mateeeso!
 
Maarifa ya ziada kwenye mapenzi????Are u sirious?
 
Sio kwa karne hii..!
hata kwa karne hii hata kama ni mwanamke anaejiuza kule k.ndoni na uwanja wafisi hawezi kukubari moja kwa moja bila pingamizi eiza kwa kikwazo cha kufika bei anayo itaka.
 
sirious 100% huwezi kumtokea mdada bila vimkwamo mkwamo.

Slave inategemeana na mwanamke uayemtaka, kama unataka malaya ni kama tairi kuteleza lami ya Dodoma - Moro au Chalinze - Segera upoooo????

Kama unataka demu wa maisha au future au material wife hapo ni lazima mikwamo iwepo kwa lengo la kila mmoja kujiridhisha kuwa ni kweli unampenda au unataka kummega tu usepe?????

Kwa mantiki hiyo wanaume wanatumia maarifa ya ziada kuonyesha kweli wanaowataka wanawapenda toka moyoni na mwanamke naye anataka kujiridhisha kuwa atakayemkubalia ni mtu wa type yake na other complications.
 
Last edited by a moderator:
Mademu wa kibongo now wanatongoza wanaume kila kukicha sasa mkwamo uko wapi hapo?
mzee wa njaa pima sound zao pale wanapo mtogoza mwanaume hawadhihilishi moja kwa moja.
 
Hii si kwa binaadamu tu,hata wanyama,ndege na wadudu mpaka watumie hakili ya ziada ndo wawapate wapenzi.why kwanini???

Unapaswa kujua kua all men are made with sounding mind,they are created with the ability toTHINK but females never think sa wakiona vile guy anaflow madini makubwa wanadhani amesumbua mind kumbe itc just a very optional normality 2guys,
 
Duuh kama una hela kwanini utumie maarifa mengi. Huna ndio utalijua jiji
 
Upo sawa kabisa bila mateso huwezi! mateeso kuhangaika.

Mateso? Nyie vipi? Yani eti kutumia maalifa unaita mateso? There is no free lunch you must obey to the price
 
Mwenye maalifa hatumii hela,anamega kisela
hivi hizo hela sio maalifa?? Jiulize namna ulivyoipata hiyo hela jinsi ulivyotumia akili,nguvu na maalifa,wewe huoni izo pesa zime recover??
 
Mateso? Nyie vipi? Yani eti kutumia maalifa unaita mateso? There is no free lunch you must obey to the price
sie pouwaaah! Hivi mateso ni mpaka utundikwe goligotha? Hiyo kuumiza akili hata kama ni sekunde 2 kwa ajili ya kumpata mdada we unaona sio mateso?
 
Back
Top Bottom