Pre GE2025 Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kama Mungu, Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano Mkuu hata kukiwa na Uovu!

Pre GE2025 Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kama Mungu, Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano Mkuu hata kukiwa na Uovu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Msikilize Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla akiwa Wasafi FM akizungumziwa sakata la kutimuliwa uanachama Dkt. Malisa

 
Wakwanza huyu anaohopeka na vijana sababu yeye ni kijana.
IMG_0612.jpeg
 
Back
Top Bottom