Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Feb 21, 2025 #1 Wakuu Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Msikilize Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla akiwa Wasafi FM akizungumziwa sakata la kutimuliwa uanachama Dkt. Malisa Your browser is not able to display this video.
Wakuu Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Msikilize Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla akiwa Wasafi FM akizungumziwa sakata la kutimuliwa uanachama Dkt. Malisa Your browser is not able to display this video.
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Feb 21, 2025 #2 Wakwanza huyu anaohopeka na vijana sababu yeye ni kijana.