M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Jun 16, 2026 #1 Mwalimu anahangaika kufundisha, anajituma kufundisha anajaza PEPMIS kama inavyotakiwa, kuna mtu katikati anatakiwa ku-approve, huyu mtu ndiye ana taarifa kama mtumishi ana mapungufu au hana, ajabu baadaye mtumishi anaambiwa taarifa zake zimepotea. Pia soma ~ Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja
Mwalimu anahangaika kufundisha, anajituma kufundisha anajaza PEPMIS kama inavyotakiwa, kuna mtu katikati anatakiwa ku-approve, huyu mtu ndiye ana taarifa kama mtumishi ana mapungufu au hana, ajabu baadaye mtumishi anaambiwa taarifa zake zimepotea. Pia soma ~ Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja
F From Meru JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 4,167 Reaction score 9,923 Jun 16, 2026 #2 Aisee ni mambo ya chuki binafsi makazini. Washamminyia makusudi
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Jun 16, 2026 Thread starter #3 From Meru said: Aisee ni mambo ya chuki binafsi makazini. Washamminyia makusudi Click to expand... Alitakiwa apande daraja.
From Meru said: Aisee ni mambo ya chuki binafsi makazini. Washamminyia makusudi Click to expand... Alitakiwa apande daraja.
chichiboy1 JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 1,413 Reaction score 1,910 Jun 16, 2026 #4 Muuza Kangala said: Mwalimu anahangaika kufundisha Anajituma kufundisha anajaza Pepmis kama inavyotakiwa. Kuna mtu katikati anatakiwa kuaprove huyu mtu ndio ana taarifa anataarifa kama mtumishi anamapungufu au hana. Baadae mtumishi anaambiwa taarifa zake zimepotea. Click to expand... Maybe ya mwisho hauku-submit na muda umekwisha, au approver hakuifa yia kazi, kushtuka deadline tayari
Muuza Kangala said: Mwalimu anahangaika kufundisha Anajituma kufundisha anajaza Pepmis kama inavyotakiwa. Kuna mtu katikati anatakiwa kuaprove huyu mtu ndio ana taarifa anataarifa kama mtumishi anamapungufu au hana. Baadae mtumishi anaambiwa taarifa zake zimepotea. Click to expand... Maybe ya mwisho hauku-submit na muda umekwisha, au approver hakuifa yia kazi, kushtuka deadline tayari