Optimists
JF-Expert Member
- Oct 17, 2021
- 379
- 1,082
Naomba kuuliza swali, nimeona sehemu nyingi baada ya mzazi kufariki, ndugu wanakuja kugombania mali za marehemu alizochuma yeye na mke wake?
Je watoto wa marehemu wanakua ni wadogo mpaka ndugu waje wagombanie?, mfano mtu amezaliwa na kukua mjini, ndugu wa baba wapo sehemu mbali mbali, au vijijini uko, inakuaje sasa baada ya mtu kufariki waje waombe mali ya mzazi wakati watoto ni wakubwa?,
tena unakuta wakati wa uhai wake hakujihusisha na ndugu zake habari ya mali yake?
Soma Pia: Moshi: Amuua mama yake wakigombea mali za marehemu baba yake