Huu ni uongo tu na story za kijiweni...kweli mali wapo wanaokula ila sio hivyoπππNaomba kuuliza swali, nimeona sehemu nyingi baada ya mzazi kufariki, ndugu wanakuja kugombania mali za marehemu alizochuma yeye na mke wake?
Je watoto wa marehemu wanakua ni wadogo mpaka ndugu waje wagombanie?, mfano mtu amezaliwa na kukua mjini, ndugu wa baba wapo sehemu mbali mbali, au vijijini uko, inakuaje sasa baada ya mtu kufariki waje waombe mali ya mzazi wakati watoto ni wakubwa?,
tena unakuta wakati wa uhai wake hakujihusisha na ndugu zake habari ya mali yake?
Soma Pia: Moshi: Amuua mama yake wakigombea mali za marehemu baba yake
π€£ wanakulaje?Huu ni uongo tu na story za kijiweni...kweli mali wapo wanaokula ila sio hivyoπππ
akaunti isipogungwa mpaka apatikane wa kusimamia mirathi mtakuta imebaki laki 3 tu kati ya billion 10 alizoacha marehemu πHuyo mtoa mada ni muongo ameongeza chumvi.
Account ya bank huwa haifungwi kabla mahakama haijamteua msimamizi wa mirathi.
Mwenye mamlaka ya kufunga account ni msimamizi wa mirathi tu
Yaani mfano ndugu wa baba, hatujaonana zaidi ya mara tano wala hatujawahi kukaa pamoja hata kwa mwezi mmoja, ndio waje wang'ang'anie mali? DuhMkuu sisi watz ndio Taifa la kijinga kuwahi kutokea. Hii situation ineshawhi kunitokea pindi nilipofiwa na mzee wangu nikiwa kijana mdogo. Walichua mirathi yote wakasepa nayo, hakuna mmoja aliyewahi kuulizia hali zetu mpaka utu uzima huu. Omba yasikukute watz ni wanyama
Ccm haoNaomba kuuliza swali, nimeona sehemu nyingi baada ya mzazi kufariki, ndugu wanakuja kugombania mali za marehemu alizochuma yeye na mke wake?
Je watoto wa marehemu wanakua ni wadogo mpaka ndugu waje wagombanie?, mfano mtu amezaliwa na kukua mjini, ndugu wa baba wapo sehemu mbali mbali, au vijijini uko, inakuaje sasa baada ya mtu kufariki waje waombe mali ya mzazi wakati watoto ni wakubwa?,
tena unakuta wakati wa uhai wake hakujihusisha na ndugu zake habari ya mali yake?
Soma Pia: Moshi: Amuua mama yake wakigombea mali za marehemu baba yake
Mkuu Ndugu kuchukua mirathi ni ngumu kwa mjini labda Vijiji uko kwa wasiojua sheria za MirathiMkuu sisi watz ndio Taifa la kijinga kuwahi kutokea. Hii situation ineshawhi kunitokea pindi nilipofiwa na mzee wangu nikiwa kijana mdogo. Walichua mirathi yote wakasepa nayo, hakuna mmoja aliyewahi kuulizia hali zetu mpaka utu uzima huu. Omba yasikukute watz ni wanyama
Sasa ndugu wa baba watajuaje namba za sili za kadi na hawezi kwenda kuchukua pesa Bank na kujaza form ya kutoa pesa ni vigumu ila wataweza kutoa pesa kama kadi wazo na wana password.akaunti isipogungwa mpaka apatikane wa kusimamia mirathi mtakuta imebaki laki 3 tu kati ya billion 10 alizoacha marehemu π
labda huyo baba ana mtoto moja tu tena wa kike mdogo,Sasa ndugu wa baba watajuaje namba za sili za kadi na hawezi kwenda kuchukua pesa Bank na kujaza form ya kutoa pesa ni vigumu ila wataweza kutoa pesa kama kadi wazo na wana password.
Ukoo wote ndio hujulikana wakati huo..Yaani mfano ndugu wa baba, hatujaonana zaidi ya mara tano wala hatujawahi kukaa pamoja hata kwa mwezi mmoja, ndio waje wang'ang'anie mali? Duh