Wewe acha uongo kabisa wanawake wa siku hizi siyo wale wa karne ya 19!!!! Huna hela kafie mbele ya safari na maneni yako mingi, nani ajing'ate kidole wakati mdomo upi eboooooo?
Wewe acha uongo kabisa wanawake wa siku hizi siyo wale wa karne ya 19!!!! Huna hela kafie mbele ya safari na maneni yako mingi, nani ajing'ate kidole wakati mdomo upi eboooooo?
sikumbuki mara ya mwisho kuwa na aibu ni lini, labda wakati nabalehe......
Sijawahi kung'ata kucha wala kula majani.....
Ila kama mwanaume kanivutia namfuata kumwambia akubali akatae shauri yake....
Na ukinitokea wakati sikumind nakwambia ukingpang'aniza nakuoa za uso....unune usinune utajiju......
BT mambo? Leo kutwa sijakutia machoni, kulikoni? Afu unajua hii comment yako hapa, mbona umeijibu kama kiutaniutani hivi? (kimaono yangu) hivi ulivyofunguka ndivyo kweli ?
Are you serious ?
poa, leo nilibanwa na vishughuli fulani....
Weekend inaendaje?
Kuhusu niliyoandika.......loh ni kweli tupu i see....aibu ya nini jamani?
Wewe kidogo nilitaka nitumie mda kukujibu, kwa vile members pumba style yako wengi walishapungua hapa Jf , wakarejea fcbk, nimekuta join date yako 24 may 2012 !
Na leo 26 may 2012 ! UNA SIKU MBILI Jf !
Hence sipotezi muda wangu kukujibu chochote! Vinginevyo nitakua kwenye rank or same type like you are !
Hapa hua tuna'play with ball, not player ! Unaonaje tu ungekata kona za mbali na hii Srade? Ni poa tu , kijana sio lazima kila tundu utie maguu!
Ok ! Nimekusoma, si wanasema kichwa ya mtu serikali ya mtu. Naiheshimu Serikali yako.
Weekend kwangu si nzuri sana, hivi nachart niko safarini, wik'end nzuri hometown bhana, uongo ?
Wana wa Bodi , habarini za usiku.
Mwanamke iwe mnafanya kazi pamoja, au umesafiri nae, ama iwe mmeshazoena kwa muda.
Na ikawa hujamtongoza, mtaongea vizuri na atakua kawaida.
Mistake pale utakapoanza kumtongoza tu, mwanamke hubadilika mfano, ataanza kua na aibu (hutokea unamuongelesha akakutega mgongo).
Kuuma kucha, kukatakata vikonyo vya majani endapo eneo hilo yatakuwepo.
Hata kama alikua muongeaji mzuri kabla tongozo, huenda akapoteza umahiri huo after tongozo.
Wengi wenu ni mashuhuda wa niyasemayo.
Nini sababu yake?
Nawasilisha.
Hapo hujafanya fair Judgement....ni kweli alisemalo Bado Kidogo ila jinsi ya kuexpress imemtatiza. Ni kweli hakuna wa kung'ata vidole wala kukata majani kwa Miaka hii, labda sijui.... Sijajua reaction yako imetoka wapi.
Hao watakuwa ni under 20 tu. Si wakomavu hatuna hayo. Kama anakufanyia hivyo basi ndo kakubali huyo.
sikumbuki mara ya mwisho kuwa na aibu ni lini, labda wakati nabalehe......
Sijawahi kung'ata kucha wala kula majani.....
Ila kama mwanaume kanivutia namfuata kumwambia akubali akatae shauri yake....
Na ukinitokea wakati sikumind nakwambia ukingpang'aniza nakuoa za uso....unune usinune utajiju......
we mwongo 2 tena ka cjakosea ndo wale*2 wang'ata kucha!
Ok na sisi tunakaribia kipori flani, ambacho hakinaga netwk anytym ntapotea hadi tufike twendako.