Inakuaje pindipo hatua hii ikifikiwa Mwanamke hubadilika Moody ghafla ?

usimshuhudie mtu uongo..........

Ninga'te kucha nini cha ajabu? Wakati nikikuona ukanivutia au nikikutamani naweza kukushushia mistari vile vile?

Mishipa ya aibu haifanyi kazi....

BT, Kimchina changu hakina kitufe cha like. pokea malike ya kufa mtu!
 

wewe wacha maneno chafu kwani sikasema ukweli kakosea nini ,mimi natumia JF toka 2008 kama guest tu mpaka nilipoamua kuwa member this May,time skel yakujiunga potezea rudi kwenye mada.
 
usimshuhudie mtu uongo..........

Ninga'te kucha nini cha ajabu? Wakati nikikuona ukanivutia au nikikutamani naweza kukushushia mistari vile vile?

Mishipa ya aibu haifanyi kazi....

"Una maneeno!" (Source Gerard Hando, PJ. Barbara)
 
wewe wacha maneno chafu kwani sikasema ukweli kakosea nini ,mimi natumia JF toka 2008 kama guest tu mpaka nilipoamua kuwa member this May,time skel yakujiunga potezea rudi kwenye mada.

Muheshimiwa Nivea!
Huoni ni wise uliyoyakuta yamejiri kati ya mtu na mtu, ukawaachia wahusika? Wewe kama wewe, mie nimekuuliza umejiunga lini ? Hivyo vya ulikua guest and blablaa kakuuliza nani ? Unajibuje jibu pasipo na swali ?
Haiwi busara sana kila utakapoiona ngoma inachezwa nawe ukatike mauno!
Ngoma zingine za kupandishia ruhani !
Hawakatiki !
Pilipili itafunwe Dar, uwashwe wa Bukoba !
Inahuu ?
 
Unajua mtu akishakua friend wako wa karibu mnakua mnaelezana mambo mengi sana mengine ni personal kabisa sasa ikatokea akakutongoza na wakati ulishafunguka mambo kibao kwake mmh lazma aibu kidogo!
BTW siku hizi aibu ni ile ya kujikaza kisabuni kung'ata kucha na majani ilikua zamani bana..
 

Purple, labda uniambie ilikua zamani kwa mijini, hii maneno kuanzia ngazi ya wilaya kurudi vijijini sijui vitongoji wanawake na wanaume kwa kiasi kikubwa, hukutana siku za magulio probaby once per moon.
Nimeiandika hii thrade baada ya kua nimeishuhudia mwanamke anaongea kamtega mgongo mwanaume, huku bibie vidole viko mdomoni.
Mwanaume ameshika baiskeli, tongozo linaendelea.
 
mkuu, ukfanya research vzur, mambo yamebadlika. Wanaume ndo wanang'ata kucha na kushka majan
 


Mwache bwana inawezekana yupo mwitongo utandawazi bado haujafika huko
 
Unato ngoza wanafunzi. wanawake siku hizi hawana hata mshipa wa soni.
 
jamani mie nikitongozwa siwezi nyanyua uso kabisa, nina aibu balaa.

Yaani kucha imebidi nizichanje ili nisiendelee kuuma.

Nna aibu kama ugonjwa.
 
umeona aunt,hebu mwambie. cku hz hakuna cha subiri nifikiria. ni twende /hatuendi full stop. . . .
 
wee Junior, mbna nlikwambia mapema kuwa ckutaki lol! au unataka za uso,me cjafunzwa kutusi kha....
 
mwe,kumbe ulitegemea smthng in return eeeh, imekula kwako mazima!
 
Tulifika alfajiri, kuna baridi kiaje! Shockup zote zimedi'adjust kurudi ndani, hata ile ya muhimu nayo ndani !
BT karibu baridi !

hahahahah pole kwa baridi, mie nimekimbia baridi, maana nikienda loliondo kipindi fulani loh, almanusra nigande hadi mapafu
 
hahahaaaaaaa, hana hela afie mbali... Jf mweee. Eti tukate majani wapi huko?

sema tu ukweli Remmy huwa mnakataga majani bana na kuparuza mguu chini kama kuku vile!
 
Last edited by a moderator:
mkuu, ukfanya research vzur, mambo yamebadlika. Wanaume ndo wanang'ata kucha na kushka majan

Mapi Tutake radhi wanaume, kweli mie ning'ate vidole mbele ya mchuchu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…