Inakuaje siafu wale majimoto wapenda sukari na asali wanafika kwenye unyeo. Yaani....

Inakuaje siafu wale majimoto wapenda sukari na asali wanafika kwenye unyeo. Yaani....

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
Najikuta kama nimekaa sehem nahisi kitu kinatambaa nikiingiza mkono na ikuitoa nakutana na majimoto. Aina ya siafu wa rangi ya mbao almaafu majiamoto.

Screenshot_20230516-100158.jpg

Wengine huita sisimizi.
Screenshot_20230516-100130.jpg

Naona wote ni siafu tu
 
Back
Top Bottom