Inakuaje Taasisi kubwa kama Halotel Tanzania kukosea?

Inakuaje Taasisi kubwa kama Halotel Tanzania kukosea?

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Kwanza niwape salamu kabisa, shikamononi halotel Tanzania.

Hivi inakuaje Taasisi kubwa kama hii kukosea kuandika? Unamaana wao hawaoni au maIT wao hawapo serious na kazi?

Au mimi ndio sielewi.

Screenshot_20210506-155454.png
 
Magufuli mwenyewe na urais wake alikua anakosea kuandika na kuongea ishindikane hao ma IT?
 
Back
Top Bottom