Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 May 6, 2021 #1 Kwanza niwape salamu kabisa, shikamononi halotel Tanzania. Hivi inakuaje Taasisi kubwa kama hii kukosea kuandika? Unamaana wao hawaoni au maIT wao hawapo serious na kazi? Au mimi ndio sielewi.
Kwanza niwape salamu kabisa, shikamononi halotel Tanzania. Hivi inakuaje Taasisi kubwa kama hii kukosea kuandika? Unamaana wao hawaoni au maIT wao hawapo serious na kazi? Au mimi ndio sielewi.
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 May 6, 2021 #2 Ungefafanua kidogo ni kipi kimekosewa ili maIT tukufafanulie na si kukimbilia kiscreenshot
kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 917 May 6, 2021 #3 Mkuuu unatumia tecno kumbe?
Kapwil JF-Expert Member Joined Apr 3, 2018 Posts 2,625 Reaction score 3,735 May 6, 2021 #4 KISIWAGA said: Ungefafanua kidogo ni kipi kimekosewa ili maIT tukufafanulie na si kukimbilia kiscreenshot Click to expand... Hujaona walipokosea?ombi lako limafanikiwa.
KISIWAGA said: Ungefafanua kidogo ni kipi kimekosewa ili maIT tukufafanulie na si kukimbilia kiscreenshot Click to expand... Hujaona walipokosea?ombi lako limafanikiwa.
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 May 6, 2021 #5 Emmanuel Kasomi said: Ombi lako limafanikiwa hapo kwenye bold mkuu Click to expand... Ahh OK hii naona itakuwa inasababishwa na maIT wa halotel kutokuju kiswahili(watakuwa ni wahindi wekundu)
Emmanuel Kasomi said: Ombi lako limafanikiwa hapo kwenye bold mkuu Click to expand... Ahh OK hii naona itakuwa inasababishwa na maIT wa halotel kutokuju kiswahili(watakuwa ni wahindi wekundu)
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 May 6, 2021 #6 Magufuli mwenyewe na urais wake alikua anakosea kuandika na kuongea ishindikane hao ma IT?