Inakuchukua muda gani kubadilisha simu unayotumia?

Inakuchukua muda gani kubadilisha simu unayotumia?

Hua nabadilisha cm kutokana na uzito wake, nikipata cm nyepesi na ukubwa wa kioo ni kama cm hii au unakaribia kulingana huu haijalishi nimenunua jana au juzi na top up nabadilisha. Huaa sipendi uzito
 
Me ikijaaga mafiles nakuanza kuanza kustuck hua naibamiza chini KWA hasira harafu naichukua taraatibu nione kama inawaka [emoji1787][emoji1787]
I like my DURO AKA TECNO
😂😂😂
 
Me last time nilinunua Xiaomi Redmi 7 feb 2018 mwezi uliopita Sep nimenunua iPhone 8 tena.

Hapa nasubiri 2024 nitanunua iPhone X.

Sinaga haraka.
 
Nkkipata mteja kwa bei niliyonunulia au zaidi, nauza ili ninunue ya kiwango cha juu zaidi ya niliyonayo.
 
Yangu hata sijui niliinunua mwaka gani, ikianza kuleta ujinga hapo hapo naanza kumeki ya kununulia mpya
 
Huwa nanunua flagships tuu ambazo najua nitadunda nayo for 5+ years.

Since 2018 na inapiga kazi kama nimeinunua jana vilee[emoji23]
Screenshot_20211025-140848.jpg
 
Lihakanga huwa unanunua cm kwa watu....?
Huwezi uzia mtu cm uliyotumia kwa bei uliyonunulia dukani, n lazima itapungua labda ununue kwa mtu na ww unaweza uza kwa bei uliyonunulia.
 
Back
Top Bottom