moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa
katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana
ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe
nashindwa kuwaelewa
kiukweli
Upinzani wao safi sana. Wajanja wamewauzia jezi feki za Al Ahly. Faida kwa Yanga.yaelekea walitumia pesa yote kwa yanga na mafarao.........
jamaa wamewafaidisha yanga na mafarao kwa kuwaongezea mapato upinzani nao ni mzuri.
Mkuu kupitia uzi wako tunaomba update please,mana mikia wenyewe wamegoma kufungua uzi.hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa
katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana
ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe
nashindwa kuwaelewa
kiukweli
costal 2 simba 1 dakika 91Ngapi ngapi? Mambumbumbu bado tuu hawajaanza kuokota makopo
🙁 kwamaana hiyo hawa jamaa wa Simba ni MaJiNiAzi sio??Hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa
Katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe kabisa
Nashindwa kuwaelewa kiukweli