Nimesikia unaweza kosea na kuunga/kutuma muda wa maongezi au kununua vocha ya bei kubwa sana mfano 100,000tshs, 1,000, 000 tshs n.k, je swala hili limewekewa utatuzi?, Maana kwa wengine inaweza kuwa ni kukosea, sasa basi, Endapo mtu alikosea kufanya ununuzi wa vifurushi, TTCL Customer Care , Airtel, Vodacom, Tigo, Zantel n.k
Mnamsaidiaje mtu wa namna hiyo?, Je anaruhusiwa kutoa malalamiko yake kwenye mtandao husika na kupata suluhisho ama mnachukulia kama uzembe wake tu!
Hili ndo jibu mujarabu kabisa, pendekezo ni kwamba mitandao ya simu waweke huduma ya kurudisha miamala ya mfumo huo, kama ilivyo kwenye miamala mingine