Nimejaribu kuangalia kufikishwa kwa kiongozi wa UAMSHO Sheikh Farid Hadi mahakamani na nimeshtushwa na masharti aliyopewa ya dhamana maana yamekaa kimtego mtego! Yaani kama yanataka kutengeza heros na heroines! Anahitajika kudhaminiwa na watu wawili mmoja toka serikalini na wa pili toka viongozi wenzie wa kidini!
Je umepata kufikiria hili tego linaweza kuibui mambo makubwa huko Zanzibar? Ni vp pale Maalim Seif na Kadhi Mkuu wa Zanzibar watakapojitolea kumdhamini? Kitu ambacho naanza kukihisihisi? Je SUK itavunjika ama vp? Na ni nini mstakabali wa Muungano baada ya hapo?
Du pakali hapo km Seif atamdhamini mtu anayedai katekwa na Serikali
Tusubiri trh 25 dhamana haikusema hivyo la sivyo waongeze mauaji ya Polisi ambayo. Hayana dhamana
Kupitia ITV na Farouk Karim katuonesha hao wadunguaji wa FFU toka bara na gari la JW lazima wanyaze Uamsho la sivyo kifutwe
Huyo kiongoz hana tofaut na gaid msbishe jaman,au mltaka ad alpue mabom ndo mjue na yy ni gaid? Ktendo cha kuatarisha aman ya nch 2 ni ugaid tosha coz inaeza kugharim maisha ya wa2 weng km ilvyotokea z,bar.