Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Moja ya kisa nilichoshuhudia katika mji wa Shinyanga
Binti wa miaka 24 baada ya kumuona baba yake akiwa na mchepuko mtaani ,maeneo fulani fulani,akatimka mbio mpaka nyumbani na kumwambia mama yake
"Mama nimemuona baba na mchepuko sehemu fulani" mama akaamka,mguu kwa mguu na binti mpaka sehemu husika na fujo zikaanza kutokea
Hivi na binti anamuonea wivu baba yake kuwa na mchepuko?
Je na Kijana akimuona mama yake akiwa na mchepuko ataumia na kumwambia baba yake?
Vipi watoto wanaweza kuwa walinzi wa ndoa?
Sent using Jamii Forums mobile app