Maswali ya kitoto sisi hatuwezi kuyajibu.Moja ya kisa nilichoshuhudia katika mji wa Shinyanga
Binti wa miaka 24 baada ya kumuona baba yake akiwa na mchepuko mtaani ,maeneo fulani fulani,akatimka mbio mpaka nyumbani na kumwambia mama yake
"Mama nimemuona baba na mchepuko sehemu fulani" mama akaamka,mguu kwa mguu na binti mpaka sehemu husika na fujo zikaanza kutokea
Hivi na binti anamuonea wivu baba yake kuwa na mchepuko?
Je na Kijana akimuona mama yake akiwa na mchepuko ataumia na kumwambia baba yake?
Vipi watoto wanaweza kuwa walinzi wa ndoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi. Kaenda kumwambia mama yake! Sasa huo sio wivu kwa baba yake. Au huelewi vizuri lugha ya kiswahili?
Hahahahah,! Hiyo kali...kwa hiyo Kijana akijua mchepuko wa mzazi wake lazima aseme ili kuwalinda na ngomababa akiugua ngoma, akafa wewe ndio utawalisha.
komaa binti
πππbaba akiugua ngoma, akafa wewe ndio utawalisha.
komaa binti
Hujalipwa buku 7 ndo maana unapiga miayo tu
Ww na huyo binti wote ni watoto. Alichofanya huyo binti ni reaction ya kumuona baba anafanya mambo ambayo si mazuri kwa familia na mama mzazi...Moja ya kisa nilichoshuhudia katika mji wa Shinyanga