Inakuwaje Demu wa rafiki yako anapokumezea mate na kutoa visingizio/sababu lukuki?

Jamani kama wewe ni shemeji hebu uwe msuluhishi wala siyo mwiba. nakushauri katika mahusiano kama haya ni bora usitie neno kwa heri wala kwa shari na tena ni heri kuitwa rafiki kuliko adui.
 
wee huna demu wako?
Ni mseja?

Unataka kula alichokichosha mshkaji wako?
Umefungua shirika la ndoa?

Kazanz ni steji ya ukuaji lakini.
 
Hadi kakushobokea anajua atakupata, naona anahesabu tu siku. Hadi mmefika kote huko ina

mana unamchekea. Mwanaume mzima uambiwe kua lazima nikupate! atakufunga

kwenye kitanda na kukunywesha Viagra?
 

cha mtu huliwa na m2 na chuma ndo huliwa na kutu....Walijua hili weye?
 
mwambie rafiki yako juu ya hio ishu,kama unajua ukimwambia hivyo haitaharbu urafiki wenu,then yeye ndo atakupa mwongozo
 
Sijui niseme nini hapa!Ngoja nije kwanza!
 

Huna msaada ndugu yangu ila wewe mwenyewe! Visingizio kibao vya nini iwapo unataka kufanya mapinduzi na kuweka mbele ngono kuliko urafiki basi amuwa tu.
 

oya mwana wewe mtawanye tu,mega kisela,use triple f.....,
 
Sidhani kama huyo msichana ana nia nzuri na nyie, aidha tayari ana magonjwa anataka asambaze. Ondoa kabisa wazo lolote la kuchapa ilale
 
Mbona mtoto wakiume unakua lege lege wa mamuzi mepesi kama hayo? ingekua wewe rafiki yako kakufanya hayo ungefanyaje? kama utaona vibaya au vizuri jibu unalo weye.
 
Usitake kujitafutia tifu na mshikaji kwa ajili ya tamaa, coz ushajionyesha km unataka kupiga mambo, huyo demu mwogope kama ukoma, cha mtu mavi ukipita tema mate.
 
Jaribu kuangalia na kutafakari....leo amemuona jamaa yake hafai amekuja kukwambia wewe na anakutaka sasa huoni kwamba akimuona mwingine tena atamwambia udhaifu udhafu wako pia na kukukimbia kama anavyotaka kumkimbia rafiki yako?Hicho kimeo kaka,utavunja urafiki na mshikaji kisa huyo mwanamke then kesho ukashindwa hata kumsalimia mshikaji..........!!!!!
 
wewe mwenyewe huna issue unavyoonekana, haramia mkubwa tu wa mademu za washikaji zako
 
baba kizuri kula na jirani yako bwana wewe mvute msela pembeni mwambie demu wake anazimia mziki wako so kama hana mpago nae akupe nafasi na wewe ujaribu sawaaaaaa ila na wewe umependa hapo ndo maana unahaha haha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…