Inakuwaje Diamond anaendelea ku-trend namba moja pamoja na kuzidiwa watazamani na Alikiba?

Inakuwaje Diamond anaendelea ku-trend namba moja pamoja na kuzidiwa watazamani na Alikiba?

playboy babu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
2,648
Reaction score
1,566
Jamaa kazidiwa viewers though alianza yy kupandisha video yake YouTube.. this means hii no2 ndio inatazamwa sana kwa sasa, sasa why no1 haishuki trend?

Screenshot_20210703-041814.png
 
Unajua maana ya trending?
Hebu tueleweshe.

Binafsi naelewa kitu kinachotrend kwa online ni kile ambacho watumia mtandao wamekisearch mno hii ni kwa google, wamekiongelea mno hii ni kwa twitter na facebook na wamekitazama mno hii ni kwa youtube.

Kwahiyo hata mimi kwa uelewa wangu ningetarajia content iliyotazamwa sana ndiyo iwe inatrend kwenye website ya youtube. Considering zote zimekua uploaded consecutively na katika nchi moja.
 
Nyimbo nyingi za Kiba hazina muendelezo mzuri wa viewers ndio maana nyimbo zake nyingi zinaishia 6-8M wakati mwenzake Mondi zinaishia kuanzia 40M kuendelea.Unaweza ukakuta hiyo Ngoma inaishia kwenye 7M wakati mwenzake atagonga 20M
 
Hii si sababu,au pengine hujaelewa mada
 
Nyingine hii,. Ndo maana wasanii wengi wa nje hawaiangalii sana youtube kama kipimo chao cha ubora wa mziki wao
IMG_20210703_092950_341.JPG
 
Nyingine hii,. Ndo maana wasanii wengi wa nje hawaiangalii sana youtube kama kipimo chao cha ubora wa mziki waoView attachment 1838518
Tumia akili.

Ukiwa no 1 kwenye trend ya eneo husika ni lazima uwe unaangaliwa zaidi eneo hilo kwa muda huo.

We kwa akili yako unadhani hizo video zinapata viewers Tanzania peke yake ?.

Huyu Diamond au Zuchu wanaangaliwa zaidi Tz ndio maana wanaongoza kwenye trendings za Tz, hao wengine wana viewers wengi ila wengi walioangalia zaidi inaonekana ni wa nchi nyinginezo, period .
 
Back
Top Bottom