playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
kaache tuu..☺️Unajua maana ya trending?
Mmeshikwa pabaya[emoji23][emoji23]Robotics... kiba anatumia maroboti,
Chkk sanaDiamond mshamba sana..
Hebu tueleweshe.Unajua maana ya trending?
Hii si sababu,au pengine hujaelewa madaNyimbo nyingi za Kiba hazina muendelezo mzuri wa viewers ndio maana nyimbo zake nyingi zinaishia 6-8M wakati mwenzake Mondi zinaishia kuanzia 40M kuendelea.Unaweza ukakuta hiyo Ngoma inaishia kwenye 7M wakati mwenzake atagonga 20M
Baada ya mwezi uje tena tuone pumzi ya kiba ilipoishiaSadala anakimbizwa nyumbani na UgeniniView attachment 1838509
Hamuishi kutafuta vichaka vya kujificha, mmeanza na baada ya mwezi kweli king kawanyooshaBaada ya mwezi uje tena tuone pumzi ya kiba ilipoishia
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tumia akili.Nyingine hii,. Ndo maana wasanii wengi wa nje hawaiangalii sana youtube kama kipimo chao cha ubora wa mziki waoView attachment 1838518
Kweli kabisa hata sisi tunaona,mpaka mwezi ukisha ndipo tutamjua SADALA NI NANI.Sadala anakimbizwa nyumbani na UgeniniView attachment 1838509
Mjomba wenu anakimbizwaKweli kabisa hata sisi tunaona,mpaka mwezi ukisha ndipo tutamjua SADALA NI NANI.
View attachment 1838673
View attachment 1838674