ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
mwanzoni mwa wiki hii nilisikiliza kipindi cha pb cha cloudsfm, kuhusu matangazo ya kuahamasisha maisha na vvu. Nikamsikia uwezo mmoja anasema yeye ni mwalimu anaishi na vvu takriban miaka 10sasa, ila kinga ya mwili wake ipo juu. Ila mkewe nae hana vvu. Wana watotowawili moja ana miaka 10 na mwingine anamiaka miwili ila wote hawana vvu..
nilishindwa kelewa ilikuwaje kwa bw.uwezo ambae ameathirika takribani miaka kumi iliyopita akashindwa kumwambukizamkewe wakati wa kumtatufa mtoto wao mwenye miaka miwili ??? Inawezekana mke akapata ujauzito lakini asiambukizwe ukimwi