Mtu hupata hiv kutokana na kirusi kuweza kuji-attach kwenye 'binding factor' ambayo ni unique na iko kwenye uso wa seli nyeupe ya damu. Kuna baadhi ya watu wanazaliwa bila kuwa na binding factor (genetic disorder). Hao hawawezi kupata ukimwi. Hiyo ni scenario ya kwanza.
Ya pili, ambayo ina slim chance ni kutokua na michubuko wakati wa tendo la ndoa. Haya,muwaandae wenzenu kwa uzuri na msikomeshiane, bt don't take chance,lol!